Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


š¹šæAPARTMENT #INAPANGISHWA
Kimara Korogwe, Dakika 12-15 Kutembea Kutoka Mwendokasi, Piki Piki ni 1000 tu.
#SIFAZAKE
š¹Chumba kimoja master kikubwa
š¹Sebule Kubwa
š¹Umeme Sub-Meter Yake
š¹Maji #Inajitegemea na yanaflow ndani
š¹Fence amna , Parking Ipo kubwa
š¹mazingira tulivu
šZipo 3 Hapa, Moja hii inakuwa wazi tar 15/11/2024 kuona mazingira na kufanya malipo Una ruhusiwa
šøKodi Tsh 180,000/-x4,5,6(Miezi )
šøMalipo ya Dalali Tsh 180,000/=
šøService Charge Tsh 15,000
0753 989554
0773700963
=====