Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: KIMARA SUKA
Distance: Dakika 8 Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
KODI 350,000 × 7
Sebule Kubwa Sana
Chumba Kimoja Kikubwa Master
Jiko Kubwa la Kisasa
Inajitegemea UMEME Na MAJI
Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
Reserve TANKS
Fenced
Parking Space Available 🚗
Good Environment 👍
📌Itakuwa Wazi 10/01/2025
📌Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰✍️
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp