Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE UMBALI WA KM 1.5 ๐ PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI, DALADALA, UPO NAULI NI TSH 5OO UKISHUKA UNATEMBEA DK  8.
------------------------------
ZIPO APARTMENTS MBILI KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI. 
---------
CHUMBA KIMOJA MASTER 
SEBULE 
TAILS 
GYPSUM 
MADIRISHA ALUMINIUM 
UMEME LUKU INAJITEGEMEA 
NA MAJI DAWASA YANAFLOW MITA YAKO. 
-----
KODI NI LAKI  200,000 /=
KWA MWEZI 
MALIPO KUANZIA MIEZI  4 NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA. 
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
____________
0784810004 
0713545127




















