Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT CLASSIC INAPANGISHWA ✨️
IPO MTAA MZURI SANA
KODI 250,000 × 3/4/5/6
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 1 KUTOKA KIMARA KOROGWE MWENDO/UBUNGO EXTERNAL
🥕Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
🥕Ipo Karibu Sana Na Main Road 🚶🚶
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA [ Kabati ]
✔️JIKO KUBWA la KISASA
✔️PUBLIC TOILET NZURI IPO NDANI 🚻
✔️LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✔️MAJI YANAFLOW JIKONI Na CHOONI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
📌HAIPO KWENYE FENCE
📌USALAMA KAMA LUGALO 👍
📌PARKING SPACE
🥕UKISHUKA TU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA 🚶🚶
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp