Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(250,000X6)KIMARA BARUTI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI..BODA BODA ELF MOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA BARUTI
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Kilomita Moja Kutoka Main Road Kituo cha Mwendokasi Unaweza Unatembea au Usafiri Bajaj Boda 1000
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba KIMOJA cha Kulala Master Bedroom
• Jiko Kubwa
• Public Toilet ya Wageni Nje
#Kodi yake kwa Mwezi ni Tsh. 250,000\/= Malipo Miezi Sita
Apartment zipo 5 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
CONTACT US:-
0716223412
0683597453