Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 220,000 × 6
LOCATION: KIMARA MWISHO
Distance: KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UNAWEZA PITIA KIMARA KOROGWE PIA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO NZURI LA KISASA
#PUBLIC TOILET NZURI 🚻
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENCE
#PARKING SPACE KUBWA 🚗
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp