Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐ 220k #Mpyaaa
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Usafiri Bajaj 500, Boda 1500
#๐๐๐๐_๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Kimoja Master Bedroom
โข Jiko Zuri
โข Choo Kizuri cha Wageni
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
#๐๐ค๐๐_๐ ๐ฌ๐_๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 220,000/- Malipo Miezi 6
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
#๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐_๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp