Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA STOP OVER
Distance: Dakika 15 Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
Usafiri 24Hours Boda 1000 Mpaka Getini
Price: 300,000 × 6
📍Sebule Kubwa
📍Chumba Kimoja Kikubwa
📍Choo Kizuri Ndani
📍Jiko Zuri
📍LUKU Independent
📍Water Meter Independent
📍Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
📍Reserve TANK
📍Fenced
📍Parking Space Available 🚗
📍Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US: 0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp