Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 13 TOKA MOROGORO ROAD
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
SOMA MAELEZO VIZURI
HII LIPIA UNAVYOWEZA
375,000/=X1
350,000/=X3
320,000/=X4
290,000/=X6
290,000/=X12
HII x12 UNAPEWA OFA MWEZI 1 BURE
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA KWA KODI UTAKAYOLIPIA
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453