Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
NEW NEW APARTMENT ZINAPANGISHWA BEI ZIPO TOFAUTI KUNA APARTMENT 2 NI 250K NA 300K
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU ANAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 12 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
0677370515
#BEI ZIKO TOFAUTI KUNA APARTMENT 2 BEI YAKE NI 250K NA ZINGINE BEI 300K