Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
ZIPO 4 NDANI YA FENCE MOJA NDIO IPO WAZI
KODI 300,000 ร 6
LOCATION: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
DISTANCE: KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI BAJAJI,DALADALA 700
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO OPEN KITCHEN CABINET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 24HRS
#RESERVE TANK
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENCE
#PARKING KUBWA SANA ๐
#GOOD ENVIRONMENT ๐
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp