Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 10 TOKA MOROGORO ROAD
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
BEI NI 250,000/=X6
FENSI NA PARKING NI KUBWA