Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Bucha
🕑 Dakika 6_7 kwa mguu kutoka standi ya mwendo kasi
📌Hii nyumba ni mpya kabisa mafundi wapo kazini
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master kikubwa
🔹Sebule
🔹Hakuna jiko
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
🔹Nyumba zipo,ndani ya fance & paking
✍️mazingira tulivu sana no uswahili hapa
🔶Kodi Tsh 250, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu
O627977383
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊