Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa KIMARA KOROGWE km1. 5
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking
Kodi 300,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.