Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT CLASSIC FOR RENT
KODI 250,000 × 6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET NZURI 🚻
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING SPACE AVAILABLE 🚗
#GOOD ENVIRONMENT 👍
APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DAKIKA
📌ITAKUA WAZI KUANZIA 15/01/2025
📌KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp