Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X)KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
LOCATION KIMARA MWISHO UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2 👈
USAFIRI BAJAJI 1000
DALALADA 700 NA UKISHUKA DAKIKA 3 UPO NDANI
KODI NI TZS 200,000 X3
SIFA ZAKE NYUMBA
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA YA KUJIACHIA NA JIKO LAKE ZURI LA KISASA
UMEME LUKU YAKO MAJI YAPO PIA YANA FLOW NDANI
ZIPO APARTMENT 4 TU KWENYE FENCE NA HII MOJA NDIO IKO WAZI KWA GARI YA CHINI NICHANGA MOTO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024