Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Baruti
🕑1.5Km Kutoka Morogoro Main Road, Bajaji 700 au Boda Boda 1000
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Umeme Luku yake, Maji yanaflow chooni
🔹Fensi yake hailazi gari
🔶Kodi Tsh 170,000/=×5(Miezi Mitano)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 170,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊