Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
Distance: KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
KODI 200,000 × 4/5/6
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️JIKO KUBWA ZURI
✔️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️LUKU YAKO
✔️MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️RESERVE TANK
✔️GOOD ENVIRONMENT 👍
SERVICE CHARGE 15,000
1 MONTH AGENT COMMISSION
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp