Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA MWISHO
Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Boda 1000
KODI 150,000 × 6
✔️Sebule Kubwa
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Jiko Kubwa Zuri Kwa Nje
✔️Public Toilet Nzuri 🚻
✔️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✔️Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Fenced
✔️Parking IPO 🚘
✔️Good Environment 👍
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp