Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ ๐น๐ฟ#APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Korogwe
๐ Umbali kutoka stand ya mwendo kasi dk 10.
PKPK 1000
Nyumba ni mpya Kabisa kama unavyohiyona hapoo
#SIFAZAKE
Chumba Kimoja Master
Sebule
Kuna Sehemu Ya Jiko
Fensi. Inajengwa Ailazigari Ndani
Nyumba ni mpya kabisa
Umeme Wakwake kila mtu
#GHARAMA
Kodi: Tsh 250,000/= ร 6 (Miezi Sita
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347