Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑Umbali kutoka stand ya mwendo kasi 12_15 kwa mguu boda boda 1000 Tu mpaka getini
🏡#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sehemu ya Jiko
🔹Umeme Sub-Meter yake
🔹Maji yanflow ndani
🔹fanced &packing kubwa
,📌 INAFAULISHWA HII MPANGAJI KAPATA UWA MISHO KIKAZI
🔶Kodi Tsh 130,000/=×6 (Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 130,000/=
🔶Service Charge Tsh 15,000/=
__________
#Piga_simu
O627977383
,
Karibu sana ndg Mteja.