Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT #MPYAA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA STOP OVER
DISTANCE: DAKIKA 10 KWA KUTEMBEA TU 🚶🚶
KODI 200,000 × 6
📍SEBULE KUBWA
📍CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
📍JIKO KUBWA ZURI
📍INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
📍MAJI YANAFLOW JIKONI Na CHOONI 24HRS
📍FENCE NDIYO INAJENGWA 👍
📍USALAMA KAMA LUGALO
📌BAADA YA WEEK ITAKUWA TAYARI KUINGIA
📌KUONA NYUMBA Na KULIPIA RUKSA BOSS 💰 ✍️
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp