Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







130,000X6
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA SUKA UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 15 ๐ 
KODI TSH 130,000X6
NI CHUMBA KIMOJA NA SEBULE CHOO CHA NDANI 
INA TAIRIZ JIPSAM MADIRISHA WAVU YANA HEWA SAFI 
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI ๐ PARKING IPO 
UNAJITEMEA MWENYEWE UMEME LUKU YAKO NA MAJI DAWASA YAPO NJE MITA YAKO ๐ 
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐ 
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 ๐ 
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258



















