Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA SUKA
Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 800
PRICE: 250,000 × 6
✔️Sebule Kubwa
✔️Chumba Kimoja Kikubwa
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Public Toilet Inside 🚻
✔️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✔️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Fenced &Parking Kubwa 🚘
✔️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp