Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#0625606710
NEW APARTMENT FOR RENT ##ZIPO KIMARA KOROGWE MAENEO YA KILUNGULE UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD.
-————
ZIPO KWENYE FINISHING ZITAKUA TAYARI KUHAMIA TAREHE 10/10/2024 RUKSA KUONA NA KULIPIA.
-————
ZIPO APARTMENTS MBILI TOFAUTI NA BEI TOFAUTI KAMA IFUATAVYO =
Chumba kimoja master
Jiko
KODI LAKI 150,000 /=KWA MWEZI
———
Chumba Master
Sebule
Jiko
KODI LAKI 250,000 /=KWA MWEZI
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-——
APARTMENT ZINAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA FINISHING YAKE ITAKUA TAILS, GYPSUM, SLIDE WINDOWS, PEVING BLOCK, CAR PARKING..
———
USAFIRI WA BAJAJI, DALADALA, UPO NAULI TSH 5OO UKISHUKA UNATEMBEA DK 4 ( SHOTCAT ) BODABODA NI ELFU MOJA.