Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #KALISANA #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍KIMARA MWISHO
🕔 UMBALI WA DAKIKA 4-5 KUTEMBEA KUTOKA MWENDOKASI, BARABARA NZURI KWA MAGARI YOTE
#SIFAZAKE
💧CHUMBA KIMOJA CHAKULALA KIKUBWA
💧SEBULE KUBWA
💧JIKO ZURI KUBWA
💧UMEME LUKU YAKE
💧INA BALCONY SAFI KWENYE MASTER
💧MAJI YANATOKA NDANI 24/7 HRS
💧FENCE, PARKING & GARDEN SAAFI
📌HII INAKUWA WAZI TAR 08/11/2024 KUIONA NA KULIPIA RUKSA
♦️KODI TSH 300,000/=×6(MIEZI SITA)
♦️MALIPO YA DALALI TSH 250,000/=
♦️SERVICE CHARGE Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊