Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
➡️Ukishuka Tu Unapiga Geti Teke
KODI 350,000 × 6
✅️Sebule Kubwa Sana
✅️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✅️Jiko Kubwa Zuri/Open Kitchen
✅️Public Toilet Nzuri Ipo Nje 🚻
✅️Ipo Kwenye Fence
✅️Full Paving Blocks 🚫
✅️Parking Space Available 🚗
✅️Inajitegemea UMEME
✅️Maji Meter Yako & Yanaflow Ndani 24HRS
✅️Reserve TANK
✅️Good Environment 👍
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp