Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA TEMBONI
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 10 Kutoka Main Road.
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Kimoja cha Kulala Master Bedroom
โข Jiko Zuri Kubwa
โข Public Toilet ya Wageni
Apartment Zipo Ndani ya Fensi Parking ipo, na Kila Apartment Inajitegemea Umeme LUKU na Maji DAWASA yanaflow ndani.
๐๐ข๐๐ ๐๐ช๐ ๐ ๐ช๐๐ญ๐ ๐ง๐๐ต. 300,000/- Malipo Kuanzia Miezi 6
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp