Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
NAFAULISHA MTEJA πββοΈπββοΈπ°βοΈ
Location: Kimara Korogwe
Dakika 8-10 Kwa Mguu Kutoka Stand Ya Mwendokas
Usafiri 24Hours Boda 1000 Tu
>Sebule kubwa
>Chumba Kimoja Master kikubwa
>Jiko Kubwa Zuri
>Umeme LUKU yake, Maji yanaflow ndani
>Fence & Parking Kubwa
Kodi Tsh 250, 000/=Γ6(Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Peter Tsh 250, 000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
KARIBUNI