Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
📍Kimara korogwe , Dar es Salaam
🕛Dakika 15 _17 Kutembea toka Kituo Cha Mwendokasi, Boda Boda 1000
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja, Master
🔹Sebule Kubwa
🔹Ina Jiko kubwa
🔹Umeme LUKU yake, Maji yanaflow 🔹ndani
🔹Fence hakuna ila Parking ipo
🔹Pana mlinzi Wakampuni 24/7 hrs
🔶Kodi Tsh 250,000/=x6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
🔶Survey Charge Tsh 15,000/-
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030