Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa KIMARA KOROGWE KILUNGULE
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Usalama wakutosha
Kodi 250,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0713661530_0783661530