Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟAPARTMENT #INAPANGISHWA
๐Kimara Korogwe, 1Km Kutoka Mwendokasi Boda boda 1000 tu Mpaka Hapo Pia kutembea Ni Dakika 15-16
#SIFAZAKE
Hii ina Chumba Kimoja Master, Sebule na Hakuna Jiko Umeme Sub-Meter Yake & Maji meter yake Iko ndani ya fensi na Parking nikubwa
Kodi Tsh 220,000/=x 3 (Miezi mitatu )kuazia
Malipo ya Dalali Tsh 220,000/=
Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_simu๐
O627977383
#.&Whatsapp
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja