Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: Dakika 5 Kutoka Mwendokasi
PRICE: 250,000 × 6
✍️Sebule Kubwa
✍️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✍️Jiko Kubwa Zuri
✍️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✍️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✍️Reserve TANK
✍️Fenced &Parking IPO 🚘
✍️Good Environment 💥
Itakuwa Wazi 30/10/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰 ✍️
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp