Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO KM 1,5 KUTOKA MOROGORO ROAD
SIFA YA NYUMBA NI
Vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja nimast Sebule kubwa sana na jiko zuli lipo kwannje hapo pembeni
Nyumba hizi zipo Kwenye fence 4 kila moja inajitegea umeme na maji
BEI YA PANGO NI LAKI 260000 X 6
Kutoka kimara mwisho usafili ni Bajaji sh 700
Bodaboda sh 1000
Ukishuka dakika 1 upo Kwenye nyumba
Kuperekwa kuona nyumba Shilling 15,000 Itadum mpaka upate nyumba
Ukipenda na kulipa Dalali utampa hela ya mwez mmoja
CONT
0683234124
0718367179
CALL
CALL