Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
: KIMARA KOROGWE KWA MKUWA PIA UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTRENAL POTE BAJAJI ZIPO 500 KUNA DALADALA ZA MOJA KWA MOJA KWENDA KARIAKOO
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
• Sehem ya jiko
• Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani.
Tsh. 200,000 Malipo Miezi 6
Survey Charge ni 15,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.
0713661530_0783661530