Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
39_
APARTMENT INAPANGISHWA
SIFA ZAKE:
✓ 1 MASTER BEDROOM
✓ SITTING ROOM
✓ JIKO
✓ PRIVATE LUKU
✓ MAJI YANAFLOW NDANI
✓ FENCE
✓ PARKING SPACE KUBWA
KODI:
250,000/=TSH KWA MWEZI, MALIPO KWA MIEZI 06
LOCATION:
KIMARA MWISHO, DAR ES SALAAM, DAKIKA KWA MIGUU 4 FROM MOROGORO ROAD
SERVICE CHARGES:
15,000=TSH KUONESHWA NYUMBA AU KODI YA MWEZI MMOJA IKIFANYIKA BIASHARA
+255 694 075 761
.
.