Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara mwisho
🕑Dakika 15 kwa mguu kutoka stand ya mwendo kasi bodaboda 1000 Tu pia unaweza pitia korogwe
🏡#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master Kikubwa
🔹Sehemu ya Jiko
🔹Umeme Sub-Meter yake
🔹Maji yanflow ndani
🔹fanced amna &packing ipo kubwa
,📌Nyumba ni mpya mafundi wapo kazinii Fance amna ila mazingira tulivu Sana usalama masaa 24 upo
🔶Kodi Tsh 180,000/=×,6 (Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 180,000/=
🔶Service Charge Tsh 15,000/=
__________
#Piga_simu
O627977383
,
Karibu sana ndg Mteja.