Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑Umbali kutoka stand ya mwendo kasi 1. usafili bajaji 500,ukishuka dakika 5 bodaboda 1000 Tu mpaka getini
🏡#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master kikubwa
🔹Umeme Sub-Meter yake
🔹Maji Yanafrow ndani masaa 24
🔹fanced &isiyo laza gari
📌Chumba kinakuwa wazi tar 15 /01/2025 kuona ndani na kufanya malipo una ruhusiwa
🔶Kodi Tsh 100,000/=×6 (Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 100,000/=
🔶Service Charge Tsh 15,000/=
__________
#Piga_simu
0627977383
,
Karibu sana ndg Mteja.