Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE UMBALI WA KM 1.5 ๐ PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI, DALADALA, UPO NAULI NI TSH 5OO UKISHUKA UNATEMBEA DK 8.
โโโโโโโโโโ
ZIPO APARTMENTS MBILI KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME PAMOJA NA MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI.
โโโ
CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE
TAILS
GYPSUM
MADIRISHA ALUMINIUM
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
NA MAJI DAWASA YANAFLOW MITA YAKO.
โโ
KODI NI LAKI 200,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO KUANZIA MIEZI 4 NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
#0625606710