Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa KIMARA STOP OVER dk4
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking yakutosha
Kodi 200,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.