Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍KIMARA KOROGWE
🕔 UMBALI WA DAKIKA 15 KUTEMBEA KUTOKA MAIN ROAD,AU BODA 1000
#SIFAZAKE
💧CHUMBA KIMOJA MASTER
💧SEBULE
💧UMEME SUB-METER YAKE
💧MAJI METER YAKE NA YANAFLOW NDANI
💧HAINA FENCE ILA PARKING IPO
♦️KODI Tsh 180,000/= ×4(MIEZI MINNE)
♦️MALIPO YA DALALI TSH 180,000/=
♦️SERVICE CHARGE Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊