Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(200,000X6)AU (250,000X6)KIMARA KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30\/05\/2025
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA KIMOJA
#CHOO CHA NDANI
#JIKO KUBWA
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION #KIMARA_KOROGWE DK 7-8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI SOMA KWA MAKINI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA NYUMBA ITABAKI NA MADIRISHA YA KAWAIDA ILA 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA UTAWEKEWA ALUMINUM SLAIDING WINDOW
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453