Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: KM 1.5 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
KODI 250,000 × 6
Sebule Kubwa
Chumba Kimoja Kikubwa Master
Jiko Kubwa Zuri
Public Toilet Nzuri
LUKU independent
Maji Yanaflow Ndani 24HRS
Fenced
Parking Space Kubwa 🚗
Good Environment 👍
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp