Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Location: KIMARA STOP OVER
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏛🏛🏛KALISANA
KODI KWAMWEZI 250,000/=×6
SEBULE KUBWA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
JIKO KUBWA FULL MAKABATI
INA JITEGEMEA UMEME Na MAJI PIA YANAFLOW NDANI 24HRS
IPO NDANI YA FENCE
PAKING KUBWA SANA
FULL PAVING BLOCKS
ULINZI WA KUTOSHA 24HRS
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI KM 1👈 BODABODA 1000 BARABARA NIYAZEGE MPAKA GETINI
KWENYE COMPOUND ZIPO APARTMENT 4 NA HII MOJA NDO IPOWAZI
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp