Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿#NEW #CLASSIC #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara BARUTI, Dakika 15 Kutembea Kutoka Mwendokasi, Piki Piki ni 1000 tu.
#SIFAZAKE
💧Chumba kimoja chakulala
💧Sebule
💧Jiko linafungwa Makabati
💧Choo cha ndani
💧Umeme LUKU yake, Maji ni ya #dawasa
💧Inafungwa AC, HEATER,Free Wi-Fi & Security Cameras
💧Fence, Parking & Paving blocks
👉ZinakuwaTayari Kuanzia Tar 30/11/2024 Kuiona na kulipia Ruksa
♦️Kodi Tsh 400,000/=×6( Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 400,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊