Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐น๐ฟ#APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Temboni, Dakika 20 Kutembea Toka main road, Bajaji 700 au boda Boda 1000.
#SIFAZAKE
Hii ina Chumba Kimoja Chakulala, Sebule, Jiko & Choo
Umeme Luku yake & Maji yanaflow ndani
Iko ndani ya fensi na Parking nikubwa
Ya juu hapa ndio Inapangishwa
Kodi Tsh 250,000/=ร6(Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 250,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#please #Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐