Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿 APARTMENT #INAPANGISHWA
📍kimara korogwe
🕑Dakika 12 -15 Kutembea kutoka kituo cha Mwendokasi Usafili boda 1000 hii nyumba unaweza pita kimara mwisho
🔹SIFAZAKE
🔹Chumba, Kimoja master Kizuri
🔹Sehemu ya Jiko
🔹Umeme luku yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking
👉Mazingira Tulivu Sana
🖇 Ya juu inapangishwa ipo wazii
📌Gharama za Maji Taka & Usafi wa nje na Taka ni Tsh 84,000/= (Kwa miezo Yote Sita) pesa hii llipwe pamoja na kodi
🔸Kodi Tsh 200,000/=x6 (Miezi Sita)
🔸Malipo ya Dalali roony Tsh 200,000/=
🔸Service Charge Tsh 15,000/=
#Piga_📞simu
O627977383
#.& Whatsap
#please #Follow us 🙏
Karibu Sana Mteja😊