Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT CLASSIC FOR RENT
Zipo 2,Kwenye Fence
KODI 500,000 ร 6
๐ITAKUA WAZI KUANZIA 05/04/2025
KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
#SEBULE KUBWA SANA
#DINNING ROOM
#VYUMBA V3 VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET NZURI ๐ป
#CHUMBA CHA KUJISOMEA
#AIR- CONDITION [ Full A/c ]
#GARDEN NZURI
BEI NI 500,000/= X 6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) AMBAYO ITAKWATA HELA YA MWEZI MMOJA NDANI YA MALIPO YA MIEZI 6 KWAHIYO ITAHESABIKA MIEZI 5
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI, DALADALA AU BODABODA NA NYUMBA IPO MTAA MZURI SANA NDUGU MTEJA
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp