Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT CLASSIC FOR RENT
KODI 200,000 × 5/6
Location: KIMARA STOP OVER
Distance: KM 1.7 KUTOKA MOROGORO ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji 700, Boda 1000
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️NDANI YA FENCE
✔️LUKU YAKO
✔️MAJI YANATOKA CHOONI 24HRS
✔️WATER RESERVE TANKS
✔️PARKING SPACE AVAILABLE 🚘
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp