Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







Apartment MPYA zinapangishwa KIMARA KONA DAR ES SALAAM dk4
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Jiko la kisasa
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Iko kwenye fenci ila hailazi gali
Kodi 250,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Hera ya taazari mwezi mmoja
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.